DANI CARVAJAL ASAIN MKATABA MPYA MADRID


Beki Dani Carvajal ameongeza mkataba wa miaka mitano na Real Madrid.


Carvajal ambaye sasa ni beki tegemeo wa kulia wa Madrid mkataba wake sasa utaisha Juni 30, 2020.

Comments