HATIMAE BARCELONA YA MNASA ARDA TURAN

Barcelona imezipiga bao Chelsea na Atletico Madrid na kumsainisha kiungo Arda Turan.

Barcelona imempata Turan kwa pauni milioni 29 ingawa inaanza kulipa pauni milioni 24.

Pauni milioni tano iliyobaki italipwa baadaye na imempa miaka mitano.

Kiungo huyo Mturuki atalazimika kusubiri hadi Januari, mwakani ili kuichezea Barcelona kutokana na adhabu ya usajili ambayo Barcelona walikuwa wakiitumikia.
  for £29million (€41million). 

Comments