KAIZER CHIEFS IMEMSAJILI WINGA WA UGANDA SULA MATONZU
KLABU ya Kaizer Chiefs imemsajili winga wa Uganda, Sula Matovu (pichani) kwa Mkataba wa miaka mitatu, tovuti ya klabu hiyo imethibitisha.
“NI mchezaji mzuri,” amesema kocha Steve Komphela. Ana kasi sana. Mbali na kasi , Sula ni mtaalamu mno. Acha tuone atafanya nini akiwa hapa Kaizer Chiefs,” amesema Komphela.
Kocha wa Amakhosi, Bobby Motaung amethibitisha Matovu amesaini Mkataba wa miaka mitatu. “Tunamtafuta mtu atakayecheza katika wingi. Sula amevutia katika majaribio yake. Tunamkaribisha familia ya Kaizer Chiefs,” amesema Motaung.
Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Uganda anatumia guu la kushoto, lakini anacheza vizuri wingi nyingine. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22, Matovu amechezea St George kabla ya kwenda Erbil ya Iraq. Hivi karibuni alikuwa anahusishwa na kuhamia BK Hacken ya Sweden.

Comments
Post a Comment