LUIS NANI ATUWA RASMI FERNANHCE YA UTURUKI
Mshambuliaji
mpya wa Fernanahce ya Uturuki, Luis Nani amepolekewa kwa shangwe zaidi
na mashabiki wa timu hiyo wakati wa kutambulishwa.
Awali walimpokea kwa shangwe uwanja wa ndege lakini jana ametambulishwa na lundo la mashabiki limejitokeza kumpokea.
CHEKI PICHA.
REKODI NANI AKIWA NA MAN UNITED
2007-08 mechi 41, mabao 4
2008-09 mechi 31, mabao 6
2009-10 mechi 34, mabao 6
2010-11 mechi 49, mabao 10
2011-12 mechi 40, mabao 10
2012-13 mechi 21, mabao 3
2013-14 mechi 13, bao 1
Comments
Post a Comment