PIRLO AONDOKA LASMI JUVE
Mwanasoka
huyo wa kimataifa wa Italia amecheza kwa miaka minne Juve ikiwa Serie
A, na sasa ataungana na kiungo mwenzake mkongwe wa England, Frank
Lampard timu hiyo ya Ligi Kuu Marekani, maarufu kama Major League Soccer
itakayoanza Julai 21.
Pirlo anayetarajiwa kusaini Mkataba wa miezi 18, ameiambia tovuti ya klabu hiyo: "Nimekuwa nikihitaji uzoefu huu kwa muda mrefu na sasa fursa hii imekuja nataka kuichukua,"amesema.
Pirlo sasa ataungana na mkongwe mwenzake Frank Lampard kuanzia Julai 21 Ligi Kuu ya Marekani
Comments
Post a Comment