ASHELY YOUNG AONGEZA MKATABA MAN UNITED

mmmSasa habari nzuri kuhusu Manchester united ni kwamba imekubaliana kuongeza mkataba na mchezaji wao tegemezi Ashley Young.Kutokana na ripoti zilizotoka ni kwamba Young anategemewa kusaini makaratasi ya mkataba mwisho mwa wiki hii. Mchezaji huyo mwenye miaka 30 anakaribia kufikia mwisho wa mkataba wake wa sasa hivi ambao alitokea Aston Villa kwa gharama ya £16 million

Comments