IRAN NA UINGEREZA KUFUNGA BALOZI ZAO
Uingereza
na Iran zinatarajiwa kufungua balozi kwenye miji yao mikuu licha ya
kuwepo uhusiano mbaya katika ya Iran na nchi za magharibi.
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Iran Philip Hammond anatarajiwa kuwasili mjini Tehran kwa sherehe hizo.
Atakuwa afisa wa kwanza wa ngazi ya juu zaidi wa Uingereza kuzuru Iran tangu miaka 12 iliyopita.
Ubalozi wa uingereza ulifungwa mwaka 2011 wakati ulisakwa na waandamanaji.
Makubaliano ya nyukia ya mwezi uliopita kati ya Iran na mataifa yenye nguvu duniani yametoa njia ya kuboreshwa kwa uhusiano kati yao
Comments
Post a Comment