MAN CITY YAPIGWA 4_2 HUKO UJERUMANI
Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akimtoka beki wa Stuttgart
ya katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Mercedes Benz Arena mjini Stuttgart, Ujerumani jana. Wenyeji walishinda 4-2, mabao yao yakifungwa na Daniel Ginczek mawili, Filip Kostic na Daniel Didavi wakati ya City yalifungwa na Kelechi Iheanacho na Edin Dzeko
Comments
Post a Comment