NI SIKU 100 TANGU TETEMEKO LITOKEE NEPAL
Maelfu ya watu nchini Nepal bado
wanaishi katika makao ya muda, siku mia moja baada ya tetemeko kubwa la
ardhi kuikumba nchi hiyo na kusababisha uharibifu mkubwa.
Mwandishi wa bbc anasema kuwa kiwango kikubwa cha vifusi kimeondolewa na ujenzi mpya kwa sasa unaendela katika badhi ya maeneo yaliyoathirika zaidi
Nepal inapata msaada wa kimataiaa katika ujenzi huo . Karibu watu 9000 waliuawa wakati wa janga hilo.
Comments
Post a Comment