PEDRO AANZA MAZOEZI RASMI CHELSEA

PEDRO AKIWA NA FABRAGAS..

KIUNGO NYOTA, PEDRO HATIMAYE RASMI AMEANZA MAZOEZI NA KIKOSI CHAKE KIPYA CHINI YA KOCHA JOSE MOURINHO KILICHOFANIKIWA KUIPIGA BAO MANCHESTER UNITED ILIYOKUWA IKIMUWANIA KUMPATA KUTOKA BARCELONA.

Comments