picha za matukio mbali mbali katika mchezo wa yanga vs azam kwenye ngao ya jamii
Kama ukufanikiwa kuona mechi ya yanga dhidi ya azam kwenye ngao ya jamii jana iliochezwa kwenye uwanja wa taifa ambapo yanga walishinda kwenye mchezo huu KAKWAYA100 imekuandalia picha
za matukio mbalimbali yaliotokea ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja wakati
mabingwa wapya wa ngao ya hisani Yanga wakishangilia ushindi walioupata dhidi ya Azam FC, timu ambayo ilikuwa ina miliki ngao hiyo.
Comments
Post a Comment