PSG YATWAA KOMBE LA UFARANSA YA ICHAPA LYON 2_0

 Straika Edinson Cavani amepiga bao na kuiwezesha PSG kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Ushindi huo dhidi ya Lyon umeiwezesha PSG kubeba Kombe la Ufaransa.



EDSON CAVANI AKIPIGA PICHA AKIWA NA KOMBE LA UFARANSA BAADA YA KUISAIDIA TIMU YAKE YA PSG KUTWAA KOMBE HILO KATIKA USHINDI WA BAO 2 HUKU CAVANI AKIFUNGA BAO MOJA

Comments