STEVAN JOVETIC ATUA RASMI INTER MILAN
Klabu
ya Ligi Kuu ya England imethibitisha kumtoa mchezaji huyo mwenye umri
wa miaka 25 kwa Mkataba wa mwaka mmoja na nusu akachezee Inter, huku
kukiwa na mpango wa kumuuza moja kwa moja.
Jovetic
alijiunga na City kutoka Fiorentina mwaka 2013, lakini hajafanikiwa
kuwa na namba ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Manuel
Pellegrini.
Comments
Post a Comment