Mshambulizi matata wa klabu ya
Swansea City Andre Ayew, ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi
uliopita, katika ligi kuu ya Uingereza ya Premier.
Andre Ayew
Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Ghana mwenye umri
wa miaka 25, amefunga magoli matatu, msimu huku, huku Swansea ikiwa
haijapoteza mechi yoyote msimu huu. Image caption
Wachezaji wa Swansea
Swansea inashikilia nafasi ya nne kwenye msururu wa ligi kuu, ikiwa na alk alama nane, baada ya kucheza mechi nne. Image caption
Andre Ayew
Manchester City ingali kileleni na alama 12 ikifuatwa na Crystal Palace na Leicester zikiwa na alama tisa na nane mtawalia
Comments
Post a Comment