BAADA YA MAKUFULI SASA RONALDO AZINDUA MANUKATO


Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amezindua utuli au manukato yenye jina lake.

Mreno huyo amekuwa maarufu katika biashara ya nguo za ndani za wanaume.
Lakini sasa amezindua manukato hayo ambayo tayari yameanza kuuzwa sehemu mbalimbali duniani.
Angalia anavyojidai na warembo na washkaji zake wakati wa uzinduzi huo.

Comments