MTOTO ALIEKUFA AFANYIWA IBADA CANADA

 
Mtoto aliyekufa afanyiwa ibada Canada
Ibada ya makumbusho imefanyika nchini Canada kwa mtoto wa umri wa miaka mitatu kutoka nchini Syria Alan Kurdi ambaye kifo chake katika ufuo wa Uturuki kimezua shutuma za kimataifa.

Familia ya Kurdi inayoishi mjini Vancouver iliungana na zaidi ya watu 100 kumkumbuka Alan, nduguye wa uiri wa miaka mitano na mama yao walioaga dunia wakiwa safarini kwenda Ulaya wakikimbia mzozo ulio nchini Syria.
Awali Canada ilikuwa imekataa ombi kutoa kwa familia hiyo la kutaka ipewe hifadhi nchini humo.

Comments