ROONEY AWEKA REKODI KWA KUFUNGA BAO LA 50 KWENYE TIMU YAKE YA TAIFA
Akiichezea timu ya taifa ya England mechi ya 107, Wayne Rooney
amefanikiwa kufunga bao la 50 na kuweka rekodi mpya.
Akiwa na miaka 29, Rooney ameingoza England kushinda dhidi ya
Uswiss kwa mabao 2-0 lakini akifunga bao la 50.
ENGLAND (4-3-3): Hart 7, Clyne 6 (Stones 68, 6), Cahill 6,
Smalling 6.5, Shaw 7, Delph (Barkley (3) 6.5), Shelvey 5 (Kane (57) 7.5),
Milner 6, Oxlade-Chamberlain 5.5, Rooney 7, Sterling 6.5
Subs not used: Butland, Gibbs, Walcott,
Jagielka, Vardy, Mason, Heaton.
SWITZERLAND (4-3-3): Sommer 7, Lichtsteiner 6, Klose 6, Schar 6, Rodriguez 5.5,
Behrami 6.5 (Dzemali (79) 6), Inler 7, Xhaka 7, Shaqiri 7.5, Drmic, 6 (Embolo
(63) 6.5), Stocker, 6.5 (Seferovic (72) 6)
Subs not used: Hitz, Moubandje, von
Bergen, Widmer, Fernandes, Kasami, Mehmedi, Lustenberger, Burki.
Referee: Gianluca Rocchi (Italy)
Attendance: 75,751
Player ratings by Rob Draper at Wembley.
kakwaya100
Comments
Post a Comment