ROONEY NDIO MCHEZAJI ANAE LIPWA PESA NYINGI ZAIDI UINGEREZA
WAYNE ROONEY NDIYE KINARA... |
1. Wayne
Rooney (Man Utd) £260,000-a-week
mwaka 2014 alisaini
mkataba wa miaka mitano.
2. Sergio
Aguero (Man City) £240,000
mwaka 2014 alisaini
mkataba wa miaka mitano
3. Yaya Toure (Man City) £240,000
mwaka 2013 alisaini
mkataba wa miaka minne.
4. Eden Hazard (Chelsea) £220,000
mwaka 2015 alisaini
mkataba wa miaka mitano.
5. David Silva (Man City) £200,000
mwaka 2014 alisaini
mkataba wa miaka mitano
6. Mesut Ozil (Arsenal) £190,000
mwaka 2013 alisaini
mkataba wa miaka mitano.
7. Raheem
Sterling (Man City) £180,000
mwaka 2015 alisaini
mkataba wa miaka mitano
8. Cesc Fabregas (Chelsea) £170,000
mwaka 2014 alisaini
mkataba wa miaka mitano.
9.Kevin De Bruyne (Man City) £170,000
mwaka 2015 alisaini
mkataba wa miaka sita.
10. John Terry (Chelsea) £160,000
mwaka 2015 alisaini mkataba wa mwaka
Comments
Post a Comment