WAPO WENGI WANAO UTAKA URAIS MWINGINE HUYU HAPO KACHUKUA FOMU

 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),
Jecha Jecha akimkabidhi mkoba wenye fomu ya kugombea urais wa Zanzibar kwa mgombea kupitia chama cha CCK, Ali Khatib Ali wakati alipofika ofisi za Tume kuchukua fomu hizo juzi.

Comments