DAFTARI WA WAPIGA KURA VITUKO VITUPU

Siku chache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini tume inayosimamia uchaguzi imevipa vyama vya siasa nakala za majina yaliomo kwenye daftali la kudumu la kupigia kura  kabla ya kubandika majina hayo kwenye vituo vyote 
65,105 vitakavyo tumika kupigia kura oct 25 lakini kwenye daftar hilo kumeonekana kuwa na matatizo mbali mbali baadhi yake ni kama haya ambayo KAKWAYA100 inakuletea
 
Huyu  Kaandikishwa  kwa  jina  la  GGGHUH  GGJGJHGHG GGHGGGHG

Mwangalie  vizuri  mzungu    na  majina  yake. Picha  ya  pembeni  kulia  ni  kitu  cheusi  na  siyo  sura  ya  mtu
Angalia  Jina  na  hiyo  picha. Kwa  kuiangalia  sidhani  kama  ni  picha  ya  binadamu
Tazama  majina  na  picha
Hizi  picha  mbili  za  kulia  sio  za  binadamu. Moja  ni  kama  ya  mlango, nyingine  ni  weusi tu  unaonekana
   
wakati haya yote yana jili ikumbukwe zimesalia siku 9 kuelekea uchaguzi mkuu hapa nchini
 
 

Comments