GARI LA SERIKALI LAKAMATWA LIKIDAIWAKUWA NA KURA BANDIA ZALIZO ONEKANA KUMCHAGUA MAGUFULI WA CCM HUKO NJOMBE

Gari  la  Serikali  limekamatwa  mkoani  Njombe  likidaiwa  kuwa  na  kura  FEKI  Zilizizopigwa  kwa  ajili  ya  mgombea  urais  wa  CCM
Gari  lililokamatwa  ni  la  Tanroads, na  limekamatwa  leo  asubuhi.Walipokamatwa  walijitetea  kuwa  walikuwa  wamebeba  t shirt  za  Magufuli.

Baada  ya  Upekuzi  kufanyika, chini  ya  shinikizo  la  wananchi, gari  hilo  lilikutwa  na  kura  ambazo  tayari  zimepigwa  kumchagua  Magufuli

Comments