WAFUASI WA CCM NA CHADEMA WACHOMANA VISU WAWILI WAFARIKI DUNIA
Watu wawili wamefariki dunia baada ya vurugu kubwa kutokea kati ya wafuasi wa CCM na CHADEMA katika mji mdogo wa Tunduma Mkoani Mbeya.
Vurugu
hizo zimetokea baada ya wanachama wa CCM kuweka mawe barabarani ili
wafuasi wa CHADEMA wasipite kuhudhuria mkutano wa Lowassa.
Hali hiyo iliwafanya wafuasi wa CHADEMA kushuka ili kutoa mawe hayo, ndipo akatokea kijana mmoja wa CCM na kumchoma kisu kijana mmoja wa CHADEMA ambaye alifariki dunia papo hapo.
KAKWAYA100 INAOMBALADHI KUTOKANA NA PICHA HIZI ZA KUTISHA
Comments
Post a Comment