CHUI AMUUA MWANAMKE CHINA
Chui katika mbuga moja ya wanyama
pori nchini China wamemmuua mwanamke mmoja na kumjeruhi mwinngine baada
ya wawili hao kuondoka ndani ya gari lao.
Vyombo vya habari vilichapisha picha zikionyesha mmoja wa wanawake hao wakitoka kwenye gari na kusimama nje kabla ya kushambuliwa kwa haraka na Chui na kisha kuburutwa.
Mwanamke wa pili aliuawa wakati alitoka ndani ya gari akijaribu kumuokaa mwenzake wakati yeye mwenyewe alishambuliwa na Chui mwingine.
Wageni katika mbuga ya Badaling mjini Beijing, huruhusiwa kuendesha magari yao ndani ya mbuga lakini mara nyingi hushauriwa kutotoka nje ya magari yao.
Comments
Post a Comment