MWANAMKE KUONGOZA MAREKANI??


Hilary Clinton amekuwa mwanamke wa kwanza kuongoza katika kinyang'anyiro cha urais ndani ya chama kikubwa nchini Marekani.
Wajumbe wa Mkutano mkuu wa chama cha Democratic nchini
Marekani wamemchagua seneta wa zamani na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje kuwa mgombea Urais kupitia chama hicho.
Mpinzani wake mkuu Bernie Sanders alimaliza mchakato huo wa kuwania nafasi hiyo ya kukiwakilisha chama kwa kuwataka wajumbe, kumchagua Bi Clinton kwa kauli moja.

Comments