BARCELONA YAPONEA CHUPU CHUPU DHIDI YA GRANADA
KIUNGO wa Barcelona Rafinha Alcantara
Jana alufungia Timu yake Bao la aDakika ya 49 na kuipa ushindi wa 1-0 dhidi ya Timu ta mkiani ya La Liga Granada.
Ushindi huo umeipandisha Barca hadi Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 2
nyuma ya Vinara Real Madrid ambao Jana walifunga Ugenini Alaves 4-1 huku
Cristiano Ronaldo akipiga Hetitriki.
Wakicheza chini ya kiwango huku Mafowadi wao hatari, Lionel Messi,
Neymar na Luis Suarez, wakihaha bila tija, Barca walishindwa kuifunga
Timu hiyo ya mkian
Comments
Post a Comment