Diamond asema kuhusu kupokea maomba ya wasanii wanaomba kujiunga na WCB VIDEO HII HAPA
Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika
wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa
nyumbani kwanza
Pia amesema sasa hivi hawachukui wasanii wengine wachanga mpaka Ray vanny na harmonize wakue vizur
Comments
Post a Comment