Hat-trick ya Ronaldo yaweka rekodi mpya Laliga


 Image result for picha za cristiano ronaldo

Cristiano Ronaldo amepiga hat-trick na kukosa penati na kuipa timu yake ya Real Madri ushindi mnono wa mabao 4-1.

Deyverson aliwapa Alaves mapema tu goli la kuongoza kabla ya Ronaldo kusawazisha kwa njia ya penati.
Ronaldo aliongeza la pili kabla ya kwenda mapumziko baada ya shuti lake kumgonga mchezaji wa Alaves na kutinga wavuni.
Alvaro Morata alifunga la tatu kabla ya Ronaldo kumalizia hat-trick yake jioni ya leo.
Alaves walikuwa hawajapoteza mchezo wowote katika uwanja wao wa nyumbani kabla ya kipigo cha leo kutoka kwa Real Madrid

Comments

Popular Posts