ligi kuu ya england imezidi kuwa na mvuto wa aina yake hii ni baada ya mechi kazaa kuchezwa jumamosi hii huku timu zote zilizopo juu katika msimamo wa ligi hiyo ziki pata ushindio Liverpool wameichabanga crystal palace mabao 4 _2nakufanya ligi hiyo kuendelea kuwa na mvutano mkubwa has katika nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi hiyo man city Arsenal pamoja na Liverpool wanapointi sawa 23 ni tofauti ya magoli ya kufunga na kufugwa ndio yanayo amulu msima wa ligi kuonyesha nani kinara wa ligi hiyo mpak sasa
Comments
Post a Comment