MAISHA PLUS YAKAMILIKA KENYA YASHINDA MILIONI 30
Huyu ndio mshindi wa shindano linalofanyika hapa nchini linaloitwa MAISHA PLUS ambalo mwaka huu limekwenda mbali zaid kwa kushilikisha vijana mbali mbali kutoka maeneo ya Afrika mashariki
OLIVER KIARIE ameshinda kiasi cha shilingi milioni 30 za kitanzania akitokea kenya
shindano hili ambalo liliwakutanisha vijana mbali mbali wakikusanywa katika kijiji kilicho mbali na makazi ya watu huku wakifundishwa mbinu mbali mbali za maisha
Comments
Post a Comment