MOTO WATEKETEZA SOKO LA MANDERA HUKO SUMBAWANGA USIKU WA KUAMKIA LEO

 

soko la mandela lililopo mkoani Rukwa katika manispaa ya sumbawanga limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo taarifa za kuamika zinasea   moto huo  ulianza kuonekana
majira ya saa mbili na nusu za usiku mpka sasa chanzo cha moto huo kijajulikana 

pia ghalama halisi zilizo sababishwa na moto huo zija fahamika mpaka sasa 


kwa taarifa zaidi endelea kukaaa karibu na KAKWAYA100

Comments

Popular Posts