PICHA ZA JANGA LA MOTO HUKO SUMBAWANGA HIZI HAPA

 

Hari yaendelea kuwa mbaya zaidi huko sumbawanga hii ni siku chache baada soko la mandela kuungua vibaya usiku wa kuamkia jumapili wafanya biashara wa sokoni hapo wamelilalamikia
jeshi la zima moto mkoani hapo kwa kushindwa   kufika sehenu ya tukio kwa wakati muafaka  kitendo kilichopelekea soko hilo kuungua vibaya






Comments