PICHA ZA MABESTE AKIFUNGA NDOA
Msanii wa Bongofleva William Ngowi ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la Mabeste ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda
mrefu na mzazi mwenzake Liser Fickensher, Mabeste amefunga ndoa mpenzi wake huyo ambaye pia ni mama wa mtoto wake Kendrick.
Kupitia katika instagrama account yake ya @mabeste_tanzania na instagram account ya mkewe @lisa_fickenscher wawili hao leo October 31 wameshea picha za harusi yao pamoja na picha wakiwa kanisani wakati wa kufunga ndoa.
Comments
Post a Comment