HILI NI GARI LENYE BEI KUBWA ZAIDI DUNIANI LIKIUZWA BILIONI 10 ZA TZ MWINGINE HAYA HAPA
Toleo jipya la gari yenye ghalama kubwa zaidi duniani hivi sasa mtandao wa digitaltrend.com umetaja magari hayo pamoja na bei zake haya hapa kwenye kakwaya100
1- Koenigsegg CCXR Trevita
Koenigsegg CCXR Trevita inauzwa dola milioni 4.8 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 10.
Lamborghini Veneno inauzwa dola milioni 4.5 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 9
W Motors Lykan Hypersport inauzwa dola milioni 3.2 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 7
Limited Edition Bugatti Veyron inauzwa dola milioni 3.4 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 7
Ferrari Pininfarina Sergio inauzwa dola milioni 3 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 6.
Comments
Post a Comment