WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA KWA KOSA LA KUMUUA MLEMAVU WA NGOZI
bukoba.watu wa wili pankras minanga na lameck bazil wamehukumiwa kunyongwa
hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua magdarena andrea ambaye ni mlemavu wa ngozi mwaka 2008.
hukumu hiyo imetolewa na jaji Firmino matongolo hii leo katika mahakama kuu kanda ya bukoba ambaye alisema ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka umewakuta na hatia watu hao na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa kutokana na kosa la kumuua magdarena andrea
Comments
Post a Comment