Kocha Mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm. arejea rasmi katika club yake ya yanga siku chache baada kuandika barua ya kujiuzulu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwanachama wa Klabu ya Yanga,
Mwigulu Nchemba akiwa katika Mazungumzo na Kocha wa Yanga aliyetangaza
kujiuzulu kuitumikia klabu hiyo hivi karibuni, Hans Van Pluijm na
kumtaka ajeree kwenye kibarua chake cha kuendelea kukinoa kikosi cha
Yanga kinachoshikilia Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Kushoto ni
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit.
Comments
Post a Comment