YANGA YATUA MBEYA KWA NDEGE
Yanga wametua mjini Mbeya wakiwa tayari kwa ajili ya mechi yao ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City, keshokutwa.
Mashabiki
na wanachama wa Yanga walijitokeza kwenye Uwanja wa ndege mjini humo
kuwapokea vijana wao huku wakiwaonyesha heshima kubwa.
Yanga
inatarajia kufanya mazoezi leo chini ya Kocha Hans van Der Pluijm ili
kufanya maandalizi ya mwisho kabla ya mechi hiyo ya Jumatano.
Comments
Post a Comment