Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi ikiilaza Ludogorets 3-2 katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Arsenal yalifunga na Granit Xhaka na Ilivier Giroud, wakati ya Ludogorets yalifungwa na Jonathan Cafu na Claudiu Keseru
Comments
Post a Comment