BARUA ILIANDIKWA NA TUPAC KUUZWA SHILINGI MILIONI 138 JE UNAJUA INAHUSU NINI????? HII HAPA

Tokeo la picha la 2 PAC
Ni miaka 20 tangu afariki rapper mkongwe, Tupac. Na sasa barua ambayo aliiandika, mwenyewe inatarajiwa kuuzwa kwa kiasi cha $172,750 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni
378 za kibongo.
Kampuni ya Goldin Auctions, imesema barua hiyo iliyondikwa na Tupac Shakur ni moja ya vitu kumi vilivyokuwa vikimilikiwa na rapper huyo ambavyo vyote vitauzwa kwa mtonyo wa $206,625.

Comments