KESSI MPENZI WAKE NI MWANASOKA MWENZAKE HUYU HAPA MUONE
Wanasoka
wawili nyota nchini, Hassan Kessy na Asha Rashid maarufu kama Mwalala,
wamekuwa karibu kitambo na wamekuwa wakionekana kuongozana kama
wafanyavyo ndege.
Taarifa zinaeleza wawili hao ni wapenzi ingawa wao wamekuwa hawataki kuweka mambo hadharani sana.
Picha
hii, ni kati ya picha zinazovutia kwa leo, Kessy wa Yanga na Asha
aliyetamba na Sayari, timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, wakiwa
pamoja.
Comments
Post a Comment