MR. GOLD KAJA NA FILAMU MPYA AMBAYO AMEMSHIRIKISHA MCHEKESHAJI KING MAJUTO
Msanii chipukizi anayekuja juu katika uchekeshaji GODLOVE CHAIMAH ambaye pia anaetajwa kuchukua nafasi ya marehemu kinyambe katika tasnia ya uchekeshaji amechukua sura mpya baada ya kuandaa movie yake inayokwenda kwa jina la SCHOOL BUS akimshilikisha MZEE MAJUTO
na wasanii wengine movie ambayo imeonekan kufanya vizuri sana.
Msanii huyo ambaye anajulikana kwa jina maarufu la MR GOLD amesema ameamua kujiingiza kwenye tasnia ya filamu kwa kuwa anaamini kwenye tasnia ya filamu inahitaji mtu mwenye kipaji kama chake.
SCHOOL BUS sasa ipo sokoni ikiwa na muonekano wa kuvutia zaidi pia ikiwa inawahusisha wasanii mbalimbali ikiwa na story nzuri ya kuvutia.
Comments
Post a Comment