WIMBO MPYA WA ALLY KIBA NA OMMY DIMPOZ HII HAPA
Mkali wa wa Bongofleva Ommy Dimpoz aliyetamba na kibao chake cha “Baadae” ametuletea burudani mpya akiwa na Alikiba inaitwa ‘Kajiandae’ ambayo imefanywa na muongozaji mwenye kipaji kutoka Afrika Kusini,
Justin Campus wa Gorilla Films ambayo unaweza kuipakua kutoka Mkito kwa kubofya hapa http://bit.ly/Kajiandae
Hii
inakuwa kolabo ya pili kati ya Ommy Dimpoz na Alikiba baada ya miaka
minne. Alikiba yuko chini ya usimamizi wa Studio ya Kimataifa ya
ROCKSTAR4000 na Rockstar Publishing wakati Ommy Dimpoz yuko chini ya PKP
Management.
Wimbo
huu uliobeba ujumbe wa mapenzi unazungumzia mwanamke wa ndoto zao
uliandikwa na Ommy Dimpoz pamoja na Alikiba na kufanyiwa kazi na
mtayarishaji Emmma The Boy. Video pia iko tayari katika chaneli ya
YouTube ya AliKiba na unaweza kuitizama hapo chini. Pakua : http://bit.ly/Kajiandae kisha tupe mrejesho wako.
Comments
Post a Comment