26 WAPOTEZA MAISHA KWENYE MLIPUKO MEXICO
Takribani watu 26 wamekufa na
wengine kadhaa kujeruhiwa kutokana na mlipuko mkubwa wa moto uliotokea
katika Soko la fataki San Pablito kilomita 36 nje kidogo ya mji wa
Mexco city.
Wingu zito la moto kutokana na mlipuko huo katika soko
la fataki la San Pabito,Umesababisha watu kuchanganyikiwa na kukimbia
huku na kule kwa lengo la kujiokoa.
Picha za video zilizorushwa
katika televishen nchini humo zimeonyesha anga la soko hilo likiwa
limeunikiwa na wingu refu la moto.
Makundi ya uokoaji yamefika
katika eneo la tukio kutoa msaada,na watu wametahadhalishwa kutosogea
katika eneo hilo na barabara kuachwa wazi.
Gavana wa eneo hilo
Eruviel Avila amesema kuwa kwa sasa nguvu kubwa imeelekezwa kusaiia
majeruhi na watoa huduma wa serikali wamepelekwa katika eneo hilo
Mashuhuda
wa tukio hilo wanasema kuwa idadi ya milipuko iliendelea ada ya mlipuko
wa kwanza na hatimaye oshi mkubwa na moto ukafunika anga.
Rais wa
Mexico, Enrique Pena Nieto,kupitia ukurasa wake wa weeter ametoa pole
kwa familia zilizopoteza wapendwa wao kutokana na mlipuko huo na
majeruhi
Soko hilo la fataki la San Pablito mwaka 2005 lilikumbwa
kasa kama huo,pale mfulilizo wa milipuko na moto mkubwa ulipozuka
wakati taifa ilo liijiandaa kwa sherehe za uhuru.
Comments
Post a Comment