BAADA YA KUPATA AJARI DARASA AANDIKA HAYA HAPA KWENYE TWITTER
Jana December ya 18 ilitufikia taarifa ya kupata ajali kwa rapper Darassa alipokuwa njiani akitokea Kahama kuelekea kakola.
Darassa,Hanscana, wote walikuwemo kwenye sakata hilo la ajali na walifanikiwa kutoka salama na kufanikiwa kufanya show pande za kakola.
Kitu ambacho unapaswa kujua ni kuhusiana na rapper Darassa alicho
kiandika baada ya kunusurika kwenye ajali hiyo, jambo linaloonekana
imekuwa ni miujiza flan hivi kutokana na speend aliyokuwa anatembea na
jinsi gari iliyo gawanyika.
Perfect255 inakupa maneno yaliyoandikwa na rappaer Darassa baada ya kunusurika kwenye ajali hiyo aliyokuwa na director wa videos Hanscana.
“darassacmgKwenye
speed 60 free road lakini icho kilicho tokea miujiza lakini MUNGU na
miujiza yake pia Mini na director wangu @hanscana_producer @mrvs2016
@abbah_process Wote tuko poa #CAN I GET AMAN FOR THAT__#muziki”
Comments
Post a Comment