BUNGE LAONDOA SHERIA YA SKETI FUPI
Bunge la Israeli limetupilia mbali sheria za kuvaa kwa wafanyakazi wa
bunge baada ya wafanyakazi hao kupinga sheria zinazowataka kutovalia
sketi fupi.
Wafanyajazi hao walidai kuwa walinzi katika bunge walikuwa wakitekeleza sheria hizo na kuwazuia watu kuingia bunge hilo.
Spika Yuli Edelstein alisema kuwa hatua hiyo ilichukuliwa baada ya malalamiko kuhusu mavazi yasiyoridhisha.
Sasa timu itateuliwa kuangalia vile sheria hizo zitatatekelezwa.
Mwezi Oktoba usimamizi wa bunge ulituma barua kuwakumbusha wafanyakazi wote wa bunge kuhusu sheria hiyo ya mavazi.
Sheria hiyo inapiga marufuku fulana, kabtula,pati pati na nguo fupi au sketi lakini haielezi utefu unaotakikana.
Wakati wa maandamano hayo ya siku ya Jumatano watu walivalia sketi fupi kama njia ya kupinga sheria hizo.
Baadhi walisema kwa walilazimishwa kufungua makoti yao na walinzi wa kiume ili wapate kuona urefu ya sketi zao.

Comments
Post a Comment