CCM kupitia Mtandao wa Twitter wamekanusha taarifa hii (wakimjibu Ndg. Haki Ngowi). Mjadala umefungwa..
|
Picha ukurasa rasmi wa Twitter wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Taarifa ilikuwa hivi:
Kutoka hapa Lumumba ni kwamba Steven Wassira anachukua nafasi ya Ole Sendeka.
Peter Maduki anakuwa mweka hazina kuchukua nafasi ya Zakhia Meghji, na Kinana kabaki katika nafasi yake.
Naibu katibu Mkuu Makongoro Nyerere. Naibu Zanzibar ni Zahoro Ally.
|
Comments
Post a Comment