Skip to main content
FARU JOHN AMELIWA MAGHEMBE ACHACHAMAA AANZA KUSAKA MCHAWI KUMBE PEMBE ALIZOPEWA WAZIRI MKUU NI ZA FARU KHADIJA
Faru John wamemnywa
- Pembe zake zayeyuka wawasilisha za Faru Hadija
- Alisindikizwa na maafisa 54 Ngorongoro walimchepusha
- Profesa Maghembe aanza kusaka mchawi adai wanataka ang'olewe
- Mwekezaji aliwalipa madaktari 500,000 kwa siku bila kumtibu
Comments
Post a Comment