GABO AMKOSHA RIDHIWANI

Kushoto Msanii wa Filamu Tanzania maarufu kwa jina la Gambo Zigamba kulia ni Mbunge Wa Jimbo La Chalinze Ridhiwni Kikwete

Mbunge wa jimbo la Chalinze na mtoto wa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete. Mh. Ridhiwani Kikwete, ampongeza Gabo Zigamba kwa ushindi EATV AWARDS.
Kwenye ukurasa wake wa instagram Ridhiwani ameyaandika haya kuhusu ushindi huo, huku akisema kilicho bora siku zote kinajulikana.
 

Comments