JAPAN YASAFISHA ANGA ZA JUU
Angani |
Vyombo zaidi ya 5,000 vimerushwa kwenye mzingo wa dunia na kuacha taka nyingi
Japan imezindua chombo cha anga za juu ambacho kitabeba mtambo maalum wa kukusanya taka kutoka anga za juu.
Chombo hicho kitakuwa na nyaya ndefu za urefu wa mita 700 (nusu maili) ambazo zitatumiwa kuokota taka hizo. Nyaya hizo zitaundwa kwa madini ya aluminiamu na chuma cha pua.
Mtambo huo umeundwa kwa usaidizi kutoka kwa kampuni ya uvuvi.
Chombo hicho cha Japan kimepewa jina Kounotori na kinaundiwa katika kituo cha anga za juu cha Tanegashima |
Comments
Post a Comment