MAGUFULI: TUULINDE, TUUTUNZE NA KUUDUMISHA UMOJA WETU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka watanzania kuulinda, kuutunza na kuudumisha umoja wetu katika mwaka 2017 kwa kufanya kazi kwa bidii .
Ameuandika ujumbe huo kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Comments