MUONEKANO WA SIMU ZITAKAZO TOLEWA KWANZIA MWAKA 2020 IKIWA NA KASI YA 5G
tume ya mawasiliano dunian imesema kuna simu ambazo zitakuwa na muonekana mzuri zaidi ifikapo mwaka 2020 hadi 2030 lakni pia mtandao utakuwa na kasi ya 5G
ambapo utaweza kupakua movie yenye muonekana wa HD pia ukubwa wa saa mmoja kwa sekunde sita
Hii ndiyo ya kasi zaidi kwa sasa.
Tume ya Mawasiliano ya Ulaya inakadiria kwamba kati ya mwaka 2020 na 2030, utaweza kupakua filamu moja ya HD ya saa moja kwa sekunde sita pekee.
Comments
Post a Comment